Kanye alikuwa akiangalia ‘sex tape’ ya Kim K na Ray J alipokuwa na mademu wengine


Mtandao wa TMZ umetonya kuwa kumbe Kanye West alikuwa akiiangalia kanda ya ngono ya mpenzi wake wa sasa  Kim Kardashian wakati akila uroda na mademu wengine.

Kim Kardashian alifanya tape hiyo na mpenzi wake wa zamani Ray J.


Vyanzo mbalimbali vilivyo karibu na Kanye, vimesema Kanye alikuwa akiitumia kanda hiyo ya mikasi ya Kim kumpa mzuka zaidi na kweli ilikuwa ikifanya kazi.

Inasemakana Kanye anaipenda sana sex tape hiyo na hata kuiongelea kwenye wimbo wake utakaokuwepo kwenye albam yake ijayo.


Ila kwa sasa Kanye haiihitaji tena kwakwa anacho kitu chenyewe kitandani!!!

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates