Mama
mmoja aliyeolewa na mwenye watoto watatu ambae anaishi Hull, Uingereza,
amefikishwa mahakamani baada ya kugundulika kuwa alipata ujauzito baada
ya
kufanya mapenzi kwa wakati mmoja na mtoto wa shule, mmoja mwenye miaka
15 na
kaka yake mwenye miaka 17.
Mama huyo
anaejulikana kwa jina la Claire Louise Roundil(32), alimnasa mtoto wa miaka 15
kimapenzi baada ya kumuonesha picha zake zaidi ya mia moja akiwa mtupu, picha
zilizoonesha zaidi sehemu za matiti.
Baada ya
kumteka akili na hizo picha mama huyo alimpeleka chocho na akampa huyo mtoto
share ya mmewe. Lakini aliendelea kumbadilishia location mara kwa mara ili
kumpa mzuka zaidi wa kufanya nae sex.
Ripoti ya
polisi ilionesha kuwa mama huyo alikuwa pia na mahusiano ya kimapenzi na kaka
yake huyo mtoto na alimpata kwa style ile ile kama alivyomnasa mdogo wake,
yaani kumuonesha picha zake akiwa mtupu kisha anamteka akili na kumpeleka
kajificheni kumpa burudani, na mara nyingine shughuli iliishia kwenye gari la
mama huyo.
Hata
hivyo uchunguzi wa polisi ulionesha kuwa baada ya mama huyo kupata ujauzito
ilimbidi autoe, na alipoulizwa alisema kuwa hata aliyempa mimba hamjui kati ya
hao watoto wawili kwa sababu alikuwa anafanya nao mapenzi wote.
Moja kati
ya sababu za kufanya hivyo imesekana kuwa alikuwa na matatizo makubwa katika
ndoa yake na matatizo ya kifedha ambavyo vyote viliichanganya sana akili yake.
Na hivyo
ikaonekana kuwa “She is not the type of defendant the court needs to send to
prison immediately.” Na akapewa kile
kifungo kinachoitwa kisheria “suspended sentence” baada ya kukiri tuhuma zote.
Ikimaanisha aliwekwa chini ya uangalizi mkali wa mahakama kwa muda wa miezi
tisa.
Na wakati wa kutoa hukumu jaji John Dowse
alimwambia mahakama itaweka kumbukumbu ya haya mashtaka, na kwamba ajue kuwa
anarekodi hii maisha yake yote.
Hata
hivyo baba mzazi wa wavulana hao alisikika akilalamika akisema “kama ingekuwa
ni mwanaume ndiye kafanya mapenzi na msichana wa miaka 15 angefungwa hata bila
kutia mashaka, lakini kwa sababu ni mwanamke ndo kafanya hivi kwa wavulana
kaachiwa, she took advantage of both my son, mwanangu mkubwa alipomuacha
akamrukia mdogo, alikuwa amepanga yote haya. Akamaliza kwa kusema “It was
disgusting what she did.”
Post a Comment