Lord Eyes kwenye eneo la tukio |
Jioni ya leo Ommy dimpoz
kupitia akaunti
yake ya twitter ametweet kwamba amemkamata
rapper wa
Nako 2 Nako Lord eyes akiiba vifaa vya
gari yake ikiwa ni pamoja na
Power windows. Jionee
mwenyewe picha alizoweka Ommy dimpoz pamoja
na
tweets zake.
Ommy aliongeza kuwa Lord amekuwa akifanya
mchezo huo kwa watu wengi akiwemo jamaa
mmoja wa Clouds anaefahamika kwa jina la Kerry
ambae pia amemfanyia mchezo huo siku za karibuni
Post a Comment