Mastaa kadhaa toka Zanzibar siku walijumuika kwa pamoja kwenye utbulisho wa video ya Ison chini ya label ya stone town records
Latest Updates
Showing posts with label Pictures. Show all posts
Showing posts with label Pictures. Show all posts
Picha Ya Mtoto Wa Kim Na Kanye West 'North West' Aliyotoa Mama Yake Ndio Hii.
![]() |
| Kim Na Kanye West Utotoni |
Baada
ya vyombo vya habari za burudani kusema kuwa familia ya Kanye West
inaficha na kuzuia picha za mtoto wao North West, Hivi karibuni familia
hio imetoa picha moja ya Baby North West kwenye twitter. Kim alitoa
picha hii kupitia account yake ya twitter Kim Kardashian
@KimKardashia
HII NDO ATHARI YA KUWEKA PICHA ZA UCHI MTANDAONI

Mwezi wa kujistiri kwa wale wenzangu na mie ndiyo huo umeondoka, hapana
shaka kuna wengine wanasoma hapa, huku wakiwa ndani ya yale mambo yetu.
Siyo ishu, kila mtu ana uhuru wa kufanya kile akipendacho. Nchi yetu
inaruhusu kuvaa chochote, ilimradi tu usiende utupu.
Nakumbuka miaka kama mitatu nyuma iliwahi kutokea hoja kuhusu mavazi, wengi walisema Serikali ilikuwa na mpango wa kupiga marufuku vimini na nguo za kubana.
Nakumbuka miaka kama mitatu nyuma iliwahi kutokea hoja kuhusu mavazi, wengi walisema Serikali ilikuwa na mpango wa kupiga marufuku vimini na nguo za kubana.
CHECK PICTURES OMMY DIMPOZ ALIVYOPOKELEWA BURUNDI
Ommy Dimpoz licha ya kukwama kwa muda kidogo kwenye Airport ya Jomo
Kenyatta, hatimaye aliweza kufika nchini Burundi na kufanya show. Baada
ya kufika Burundi, njiani kuelekea kwenye show Ommy Dimpoz alifuatwa na
kundi kubwa la watu wakifuatilia gari lake huku yeye akiwapungia mkono.
Cheki hii picha kutoka kwake mwenyewe Ommy Dimpoz
BEHIND THE SCENES OF LAURA STARRING CHUCHU HANS, LIBERTY MSUYA, FARHIA, RICHIE, BARAFU, ESHA BUHETI AND RACHEL HAULE(PHOTOS).
LAURA is an upcoming Swahiliwood film expected to be in the market
anytime from now. The film is directed by Liberty Msuya, Suleiman Barafu
and Single Mtambalike(Rich). It Stars Chuchu Hans, her daughter Farhia,
Esha Buheti, Liberty Msuya, Suleiman Barafu, Rachel Haule and Aisha
Barafu. The film seems to have some sorrowful scenes as you can see in
the exclusive behind the scenes' photos below....................
Chuchu Hans
Stanley Msungu in the coffin
Like our facebook page www.facebook.com/pages/Chiwileincblogspot for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
Chuchu Hans
Chuchu in the coffin
Chuchu Hans' daughter Farhia showing her acting skills
Like our facebook page www.facebook.com/pages/Chiwileincblogspot for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
Picha: Wasanii na watangazaji walivyo futari na Raisi na familia yake Ikulu Dar
Wasanii mbali mbali na watangazaji walipata kualikwa ikulu jijini Dar,
kwa ajili ya kuftari na Mh Raisi pamoja na familia yake.mara baada ya
kuftari Mh Kikwete aliongea mawili matatu ikiwa ni pamoja na kuwapa moyo
wasanii kwa kuendeleza sanaa maana hata yeye anapenda kusikiliza miziki
yao
B12
Fetty
Dj Mully B
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)













































