Mkuu wa masoko na mawasiliano Kelin
Twissa kulia na mwanamuziki Diamond Platnumz katikati wakitia saini ya
mkataba baina ya Vodacom na msanii Diamond Platnumz unaoipa haki Vodacom
kutumia wimbo wake mpya wa my number one .
Mwanamuziki Diamond Platnumz Kushoto
akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Ngololo Dance kulia
akiwa ni mkuu wa masoko wa Vodacom Tanzania (Kelvin Twisa.)
Mkuu wa mahusiano wa nje toka Vodacom
Tanzania bw. Salimu Mwalimu akizungumza na mwanamuziki Diamond Platnumz
wakati wa makubaliano ya kusaini mkataba unaoipa Vodacom Nafasi ya
kuutumia Wimbo wake mpya wa My number one .
Pia Diamond Platnumz amezungumzia ni kwa
namna gani Mtanzania atashiriki shindano la Vodacom Ngololo kwa kupata
LIKES nyingi zaidi katika mtandao wa INSTAGRAM.
Fuata maelekezo haya.
Post a Comment