Rick Ross Sio Single Boy Tena, Ameanzisha Mahusiano Na Huyu

Kama ilikupita basi daka hii mpya kutoka kwa Rozay, Miezi michache iliyopita aliachana na mpenzi wake wa muda mrefu maarufu kama Shateria Moragne-el, huyu ndiye binti aliye kuwa nae kwenye tukio la gari ya Rick Ross kupiga risasi wakati anatoka kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa.

Ukweli ni kwamba Rozay ametengana nae kwa muda sasa ila Binti huyo alifanya tukio hilo siri kwa marafiki zake na kuendelea kuwambia watu kuwa yupo na Rozay.

Huyu ndio mtoto mpya wa Rozay anaitwa Christelle Blanche.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates