Mkali wa miziki
ya Soul bongo anajulikana kwa jina la Damian Soul anatarajia kuja na
wimbo wake mpya alioupa jina la NI PENZI akiwa amemshirikisha mkali
mwingine wa Hip Hop bongo anayetokea kundi la WEUSI anajulikana kwa jina
la Joh Makini. Damian anawaomba mashabiki wake wampokee kwa ujio huu
mpya na anaamini hatowaangusha.
Home » Damian Soul » (News) DAMIAN SOUL feat. JOH MAKINI "NI PENZI" Coming Soon
(News) DAMIAN SOUL feat. JOH MAKINI "NI PENZI" Coming Soon
By Unknown • 8:19 AM • Damian Soul • Comments : 0
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment