Hizi Picha Za Studio Mpya Ya Maneck, AM Records Baada Ya Matengenezo Makubwa


 Sammisago.com imepata Picha Exclusive Za studio ya Maneck Am Records baada ya Matengenezo. Ziko Hapa.

Studio ya producer Bora wa mwaka 2012 Producer Maneck Am Records imekuwa kwenye matengenezo na marekebisho kwa muda wa miezi kadha na hivi karibuni imekamilika na kuanza kazi rasmi.

Studio imebadilika kwa ukubwa na uwezo wa kazi. Pia recording room imekuwa kubwa zaidi ili kuwezesha zaidi ya watu 6 kurekodi kwa wakati moja na kupiga vifaa tofauti.

Very Comfortable Sits zimewekwa studio kwa wale watakao kuwa wakisikiliza ngoma mpya na kurekodi zao.


Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates