Pictures Na Info,Berry Black Ndani Ya C 9 Records.


Baada ya kutoa wimbo na video ya hit yake mpya Ft Ally Kiba iliyoitwa Ishara Zangu, Berry Black Yupo Tayari kutoa na kufanya kazi zingine. 

Berry amefanya interview na chiwileinc na kusema baada ya ukimya wa muda mrefu sasa ni wakati wa kazi baada ya kazi. Atatoa nyimbo kila baada ya muda mfupi. Ameanza kazi na C 9 na pia ata fanya kazi na producer wengine. Kwa sasa anamalizia wimbo wake aliomshirikisha Star wa Kinyulinyuli Sameer. Wimbo utaitwa Simchezei.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates