Shukran
nyingi ziwafikie Edgepoint Company Ltd kwa kujitolea kunipa Bima ya
Afya kwa wakazi 200 wa
Tandale, Bima hiyo ambayo itawaruhusu Wakazi hao
kutibiwa bure Hospitalini kwa Kipindi cha Mwaka Mzima bure...bima hizo
100 zitaenda kwa Watoto wa shule ya Tandale Magharibi, 50 kwa wakina
mama wajane wa Tandale na 50 kwa watoto yatima wa Tandale...Lengo na
duhumi langu si kusaidia Tandale tu, lakini
kwakuwa Mwanzo ni mgumu kwa sasa naanzia Tandale ila naamini Wilaya na
mikoa Mingine nitafika ku#PushMtaa @bimaafya ni bima ya Afya ya njia ya
Sim iliyo nafuu kwa watu wa Kipato cha Chini... waweza wasiliana nasi
kwa Htaletale@gmail.com @Bimaafya @Bimaafya
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment