NEWS - SERIKALI YA UGANDA KUZINGUA CHANJO YA SARATANI YA KIZAZI


Uganda itazindua kampeni ya chanjo dhidi ya saratani ya kizazi (cervical cancer) kama njia ya kuthibiti aina hiyo ya kansa ambayo imezidi kuathiri wanawake nchini humo. Sarah Opendi, waziri wa afya nchini Uganda amesema kwamba chanjo hiyo itazinduliwa mwaka ujao miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 14.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates