NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe amesema kuwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania analipwa sh milioni 384 kwa mwaka, sawa
na sh milioni 32 kwa mwezi pasipo kukatwa kodi.
Latest Updates
Showing posts with label Zitto kabwe. Show all posts
Showing posts with label Zitto kabwe. Show all posts
NIOMBEENI UZIMA TU BAADA YA KUTAJA MSHARA MZIMA WA WAZIRI MKUU NEXT TIME NATAJA WA RAIS WA NCHI!
HATIMAYE Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, ameweka wazi mshahara wa Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda.Zitto ameutaja mshahara huo wa Pinda anayejitambulisha kama ‘mtoto wa mkulima’ juzi mjini Mpanda na jana wilayani Sikonge wakati akihutubia mikutano ya hadhara katika ziara ya Kanda ya Magharibi kwa ajili ya ujenzi wa chama.
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)
