Latest Updates

Showing posts with label fid Q. Show all posts
Showing posts with label fid Q. Show all posts

PICHA ZA MATUKIO YOTE MUHIMU YA KILICHOTOKEA KWENYE POETRY ADDITION YA FID Q NA ALICHOKISEMA KUHUSU UNAFKI

12:07 PM
1  
Hii Poetry Addiction au Uaraibu wa Mashairi ni event inayoandaliwa na rapper Fid Q na timu yake ambapo hii ya jana November 1 ilikua ya tatu kufanyika na ikashirikisha vipaji vya kike peke yake.
Kwenye Exclusive interview na millardayo.com rapper Fid Q amesema muziki ulichomfanyia kiuchumi mwaka huu ni pamoja na kumsaidia kufanya project zake mwenyewe bila kusubiri au kutegemea wadhamini.
Anasema ‘tangu zamani nilikua na idea ya kufanya vitu vingi sana lakini unapeleka wazo kwa mdhamini 
anachomoa… mwaka huu nilipata akili mpya ya kuchanga kila sumni ninayopata na ninapotaka kufanya kitu changu nakifanya kwa kujisachi mwenyewe mfukoni, kama hii Poetry Addiction sina mdhamini lakini naweza kuleta wasanii kutoka nje nawalipia ndege, hoteli na mengine kwa hela yangu… atleast mwaka huu nimeuona mtaji naweza kufanya vitu vyangu ninavyotaka mwenyewe’

AUDIO- FID Q KUJA NA KITABU THE SWAHILI KID' NA DOCUMENTARY YA FID HOP DECEMBER MSIKILIZE HAPO CHINI

3:50 AM

NEW TRACK- FID Q FT JUMA NATURE - SIRI YA MCHEZO

2:23 AM

SIRI YA MCHEZO LYRICS

1:46 AM
SIRI YA MCHEZO LYRICS
Nilipotoka mbali na ninaheshimu nilipo/sikuwa na  umuhimu kihivyo… stimu  zikanipa elimu ya Biko/ Kimaandiko… kimistari.. hadi fans wanascream nikirap../  sikuamini kama nina zali mpaka nilipoidream hiphop/
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates