JOBFIRE ATOA AHADI KILIMANJARO

Jobfire akiwa na wanawe Zainath na Naifath,


Msanii jobfire mwenye asili ya kilimanjaro anae fanya kazi zake kisiwani zanzibar Amefurahia mapokezi makub aliyo yapata mkoani kwake toka kwa artst wa na wadau wengine wa burudani. Bro nimepata mapokezi mazuri sana wasanii wezangu mashabiki wote wamenipokea vizuri nimefurahi sana nita fanya lolote ktk music niwakilishe mkoa wangu wa kilimanjaro Ushirikiano ndio nguzo ya mafanikio shiriki ushirikishwe  jitenge utengwe' Alimaliza jobfire

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates