Baada Ya Bamboo Kutangaza Kaokoka, Abbas Kubaffu Amchana Na Huu Ujumbe.


Katika hali isiyo ya kawaida, rapa Abbas Kubaff ambaye ni mchizi wa karibu sana wa Bamboo katika game ya muziki Kenya, ametoa maoni yake ambayo yamekuwa ni tofauti sana kuhusu hatua ya Bamboo kutangaza
kuokoka na kumkabidhi Mungu maisha yake.
Nukuu ya maneno ya Abbas ni kama ifuatavyo; Bamboo is my boy sana lakini tunaweza agree amechanganyikiwa kidogo. 'My idea of getting saved doesn’t involve running to media with such Stunts. My idea of getting saved ni kuchange your ways from your heart in such a way that guys will notice your changes gradually because you’re not doing it for show off.

Bado mpaka sasa hakuna majibu yoyote kutoka kwa Bamboo na tokea msanii huyu ametangaza maamuzi yake haya amekuwa akiendelea kupata maoni yofauti kutoka kwa watu.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates