HIZI NI BAADHI YA NYIMBO NILIZOSHIRIKISHWA NA WASANII MBALI MBALI. NANI KASEMA JAYDEE MCHOYO WA COLLABO??


 KUNA NYINGINE NIMEZISAHAU.

1. Mambo ya Fedha - Sugu
2. Muda Mrefu - Sugu na Big Dog Pose
3. Bongo Dar es salaam - Prof J
4. Ndio Mzee - Prof J
5. Niamini - Prof J
6. Machoni kama watu - AY
7. Wanok nok - Mandojo na Domokaya


8. Sema - Mr. Blue
9. Mambo bado - Chege
10. Hali halisi - Mike Tee
12. Single Boy - Ali Kiba
13. Zamani - Qchief
14. Anita - Matonya
15. Ama zangu ama zao - East Coast Team
16. Nimpate wapi - Rich Longomba
17. Nitafanya - Kidum
18. Sirimba - Ngoni
19. Njalo - Mina Nawe
20. Waduba duba - Mina Nawe
21. Africa - Salif Keita
22. Sister sister - Nakaaya
23. Shida - Mule Mule (FM Academia)
24. Ng'ombe - Bob Junior
25. Mapenzi gani - Ngwair
26. Sikiliza - Ngwair
27. Pesa - Langa
28. Kilimanjaro - Joh Makini
29. Kadi na Ua Rose - Fid Q
30. Sifai - TID
31. kama Huwezi-Rama Dee

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates