Mchezo wa Ufunguzi Kombe la Mapinduzi Simba na Leopard.Simba Ilishinda kwa Bao moja.


Kocha wa timu ya Taifa ya Italia akiwapungua mikono Mashabiki wa Mchezo wa Mpira katika mchezo wa Ufunguzi uliozikutanisha timu za Simba na Leopard.
                    Vikosi vya timu za Simba na Leopard vikingia uwanjani kwa mpambano wao
                  Kikosi cha timu ya Leopard kilichocheza na Simba usiku huu na kukubali kufungwa bao moja
Kikosi cha timu ya Simba kilichoizamisha timu ya Leopard ya Kenya katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi usiku huu.
Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates