Ile record label maarufu ya muziki afrika mashariki -
candy n candy imechapa fimbo nyingine baada ya kufanya deal ya mtonyo
mrefuu na kampuni maarufu ya kusambaza filamu afrika mashariki na kati,
(Jina kapuni ) kwa ajili ya kusambaza filamu ya “The gal bladder” ambayo imechezwa na mwigizaji baby madaha akishirikiana na waigizaji wengine toka kenya.
Latest Updates
Showing posts with label Baby Madaha. Show all posts
Showing posts with label Baby Madaha. Show all posts
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)