Nimepata data zako bob
Lakini Na amini kuwa MUNGU pekee ndie ana mamlaka ya kuamua lolote juu
yangu na sio wewe Nitakupenda km binaadam mwenzangu hata km nimestuka
kuna mabaya unayonitendea naamini hujui ulitendalo...! Nitaendelea
kuishi kwa uhalisia wa