Behind The Scenes: Picha za D'banj wakati wa ku-shot video ya wimbo wake mpya 'Bachelor'.

Msanii wa G.O.O.D Music na Hit maker wa 'Oliver Twist' D'banj kutoka Nigeria, hivi karibuni alishot video ya single yake mpya inayoitwa 'Bachelor'.  Huo ni wimbo utakaopatikana katika album yake ya 4 'Mr Endowed'.

Video ya 'Bachelor' imefanywa Atlanta Marekani chini ya director Sesan Ogunro.  







Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates