Home
»Unlabelled
» HII NDIO KAULI YA SINTAH BAADA YA KUTISHIWA MAISHA NA SHILOLE
HII NDIO KAULI YA SINTAH BAADA YA KUTISHIWA MAISHA NA SHILOLE
By
Unknown
•
2:36 PM
•
•
Akiongea kwa njia ya simu toka nyumbani kwake Sintah baada ya mtandao huu kutaka kueleza anachukuliaje vitosho hivyo vya Shilole ambapo alisema" Kaka naambiwa sana na watu hasa wanaofatilia mitandao eti natafutwa kupigwa na Shilole sasa ninacho shangaa huyo Shilole anapafahamu kwangu aje basi anipige au kwenye ofisi zangu anapajua namkaribisha vizuri sana jamani" Alisema Sintah
Aidha
Sintah aliongeza kusema kuwa" Mimi huwa sio mtu wa maneno yeye aje tu
anipige na sio kutangaza kwenye mitandao kuwa ananitafuta anipige hayo
mambo ya bifu siku hizi watu wanayachukulia upuuzi kutafuta pesa ndio
mpango mzima hivyo mimi namshauri Shilole kama underground wa sanaa nchini aachane na bifu badala yake akazane kwenye mambo yake ya kutafuta
pesa kwa ajili ya maisha yake na familia kwani uzee unakuja" Alisema Sintah
Chanzo
cha ugomvi huo ulitokana na Sintah kuandika habari kwenye mtandao wake
kuwa Shilole hawezi kuimba na Jennifer Lopez wa Marekani bora hata Linah
wa THT anaweza kufanya hivyo kwa hiyo Shilole aache kuidanganya jamii.
Mtandao wa Sintah uliandika hivyo
Aidha
Mashabiki mbalimbali hasa wasomaji wa kwenye mitandao wamemuunga mkono
Sintah kuhusu kauri yake" Ni kweli jamani Shilole hawezi kuimba na
Jennifer Lopez hayo ni masihara jamani kwenda marekani ndio aje kuongea
ulojo kiasi hicho kwanza ikumbukwe kuwa wasanii wote wa tanzania kule
Marekani hawajulikani hata, hasa kwa sisi tunaofatilia tunajia" Alisema
mfanyabiasha wa kimataifa aliyejitambulishia kwa jina la Hamu Juma
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment