Kuna Taarifa ambazo zinasema Rapper Kimbuga ame mbaka mwanadada Linah wa
THT, na amefikishwa katika kituo cha Polisi cha Ostabey..
Taarifa hizo zimetolewa na Kala Pina kiongozi wa kundi la kikosi cha mizinga kupitia ukurasa wake wa Facebook aliandika hivii "
mtoto kimbunga amechamba ana leta usela mavi mambo ya kizamani hivi yupo chini ya ulinzi osterbay police kwa kosa la kumbaka msanii lina." Hicho ndicho kiliandikwa na Kala Pita lakini hakuna uhakika wowote.

kimbunga katika pozi
Rapper
ambaye yupo na anasikika katika Bongo Hip Hop na anafahamika kama
Kimbunga, habari za kuaminika na kuthibitishwa kutoka chanzo cha Habari
hiyo Zinasema kuwa Rapper KIMBUNGA YuKo Sero katika Kituo cha Polisi
Oysterbay kwa kile kinachodaiwa na mwanadada mmoja Ambaye jina lake
halijafahamika, kuwa alibakwa na kulawitiwa ki nguvu na Rapper
Kimbunga,
Inasemakana kuwa kabla ya tukio hilo Kimbunga alifika katika sehemu moja ambayo ni Maarufu hapa jijini Dar es salaam akiwa na Mchizi wake wake mwingin, wakaelewana na wanadada wawili wakalale kwa malipo, wakaenda hukooo sasa kufika kule dem wa yule mshkaji alimwachia pochi lake dem aliyekua na Kimbunga badae yule dem aliporudi akadai kuwa haioni simu yake na wakati huo huo dem aliyekua na Kimbunga akadai amebakwaa,
Maelezo yaliyopo ubaoni yalioandikwa na mwanadada huyo ni kwamba Amebakwa, amelawitiwa kwa nguvu na wameibiwa simu,
Kimbunga amewekwa Sero tangu usiku wa kuamkia tarehe 21, endelea kutembelea hapa kujua kila kitakachokua kikiendelea kuhusu kesi hii.

LINAH ANASEMAJE JUU YA TAARIFA HI....
Baada ya taarifa kusambaa kuwa Rapper Kimbuga amembaka Mwanadada Lina
sasa Mwanadada huyu kaibuka kwa sauti ya juu na kusema kuwa Taarifa hizo
siyo za ukweli ni uzushi tu na hajui kisa cha kuzushiwa habari
hiyo,Aliongea kwa kusikitika sana mwanadada linah..
“Sasa nikasema Kalapina ameandika hivi, kwasababu sijaingia mwenyewe kuangalia chochote. Sikutaka kujipa stress kwasababu kuna kazi nafanya nisije nikaharibu kazi kwahiyo nikaona vitu vingine kama hivi ni vya kupotezea tu lakini sio vizuri kabisa yaani. Kiukweli sijapenda, yaani bora mtu anizushie kitu kingine chochote lakini si suala kama hilo hapo, si suala zuri,” amesema Linah.
Amesema jana usiku alitoka na mpenzi wake kwenda kwenye sinema na wakarejea nyumbani salama.
“Sasa sielewi huko kubakwa nimebakwa saa ngapi na nilikuwa na boyfriend wangu labda yeye ndio kanibaka! Maana mtu wanayeniambia amenibaka Kimbunga, huyo Kimbunga hata simjui, namskia tu.Nashindwa kuelewa, kwanini mtu azushe kitu kama hicho yaani ndo nataka kujua source ni nini. Niko fine yaani, kwasababu naelewa ‘it’s not true, lakini nafikiria huyo mtu mpaka kaamua kunifanyia kitu kama hicho, nimemkosea nini au kuna kitu gani, yaani hicho ndio kinaniumiza kichwa.”
KalApina Kikosi Cha Mizinga
12 hours ago
"mtoto kimbunga amechamba ana leta usela mavi mambo ya kizamani hivi yupo chini ya ulinzi osterbay police kwa kosa la kumbaka msanii lina

Post a Comment