Ommy Dimpoz licha ya kukwama kwa muda kidogo kwenye Airport ya Jomo
Kenyatta, hatimaye aliweza kufika nchini Burundi na kufanya show. Baada
ya kufika Burundi, njiani kuelekea kwenye show Ommy Dimpoz alifuatwa na
kundi kubwa la watu wakifuatilia gari lake huku yeye akiwapungia mkono.
Cheki hii picha kutoka kwake mwenyewe Ommy Dimpoz
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment