Wiki
Iliyopita Amber alionyesha picha iliyoshangaza wengi baada ya kuona
Tatto ya
msalaba kwenye paji lake la uso, Msalaba huo unaonekana ukiwa
umechorwa tofauti, Juni ni Chini na chini pamekuwa juu. Mashabiki wa
Amber walikuwa mstari wa mbele kwenye kuliza maswali kuhusu mchoro huo
bila kupata majibu wala maelezo kutoka kwa Amber ambaye ni mama mtoto wa
Rapper Wiz Khalifa.
Mpaka sasa tafsiri ya wengi imekuwa inahusisha mchoro huo na imani za kishetani.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment