Rapper Eminem ameanza kurekodi cd
yake mpya ya `The Marshall Mathers LP 2" itakayo toka November 5, 2013.
Kupitia Beats By Dre tangazo lilitolewa kuwa Eminem sasa yupo kwenye
kazi ya kukamilisha project hio na itakuwa mwendelezo wa MMLP1 Iliyotoka
mwaka 2000.
Kazi ya Production ya nyimbo kwenye album hii itasimamiwa na mkongwe aliyeboresha record lebel kama Aftermath
Entertainment ya Dr. Dre na Def Jam `Producer Rick Rubin'
Hii ni
album ya saba ya Eminem kutengenezwa na Dr Dre na imetangazwa na
kufanyiwa promotion kwa miaka mitatu sasa. Napenda kukujulisha kuwa
Wimbo wa kwanza kutoka "Berzerk" upo kwenye Eminem.com unaweza
Kusikiliza hapo.
Cover Za Album Ziko Hapa.
Post a Comment