1.One The Incredible anaandika Facts zaidi.Kwa maana rahisi lines zake za kisomi zaidi.
2.Stamina ni bingwa wa misemo katika lyrics zake.Ana ubunifu wa kutengeneza idea ya kuvutia japo zaweza kuwa sio za uhalisia.
3.One ni mzuri Zaidi katika Hip Hop kuliko Stamina tofauti ipo kwenye publicity.
Medias wanajua.
4.Stamina ana staili ya uimbaji ambayo ni predictable(ya kutabirika).
Ukiskia Stamina katoa nyimbo,bila shaka unajenga picha mistari yake itakuwa hv.Kiufupi ana ID isiyobadilika tofaut na One
5.One ana crew inayom-back up vizuri kuliko Stamina.
Tamaduni muzik ni jina lenye Mengi.Mtu Chee haikuwa na vichwa ambavyo tunaeza sema vina impact ya zile lines za Stamina.
Au mnasemaje wazee?
Post a Comment