Rapper Game Akaribishwa Cash Money Na Tyga, Video Akivalishwa Cheni Yake Iko Hapa


Kama unafatilia Rap na Hiphop utafahamu kuwa mara nyingi wasanii wakubwa hukaribishwa kwenye makundi ya muziki kwa kuvalishwa cheni yenye chata ya record lebel hio. Kanye West alipewa cheni ya Roc Fella na Jayz na video ilionyeshwa kwenye wimbo wake wa Through The Wire. Kwenye Video hii Rapper Game anavalishwa Cheni ya Cash Money Na Rapper Tyga.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates