Rapper
Drake wa Young money amesema amehamasika kuishaidia shule ya hatari
sana nchini marekani baada ya kuona taarifa ya shule na mazingira yake
kwenye vyombo vya habari.
Latest Updates
Showing posts with label Drake. Show all posts
Showing posts with label Drake. Show all posts
Na Heshimu Kazi Za Kendrick Lamar Ila Kanye West Ndio Mpinzani Wangu Mkubwa, Asema Rapa Huyu Wa Young Money
Rapper Drake hivi
karibuni ameka chini na kuongelea mambo tofauti kuhusu mziki wake na
kusema tayari ana mpango mkubwa wakufanya kazi na kundi lenye heshima
kwenye Hiphop game duniani Wu-Tang Clan. Kwenye mahojiano kuhusu ujio wa
cd yake mpya ya Nothing Was The Same Drake amesema wimbo wake wa Wu
Tanf Forever umepokelewa vizuri sana na ninafasi yake kufanya kazi na
wakongwe hao
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)